Wednesday, August 2, 2017

Mkutano wa Fursa 101 Morogoro: Tarehe 09 Mwezi wa 9 - 2017 ndani ya Ukumbi wa Msamvu Stand Ghorofa ya pili.


Je wewe upo Morogoro?
Dar es salaam?
Mbeya?
Tanga?
Dodoma?
Mtwara?
Kigoma?
Mwanza?
Arusha?
Na kwingineko Tanzania, Kenya , Uganda, Rwanda, n.k

Je una bidhaa zako unazotamani kuonyesha? Kuuza au kuboresha?
Unataka kuonana na wawekezaji?
Watalaamu mbalimbali?

Unajua tarehe 9/9/2017 kutakuwa maonyesho ya aina yake?
Ni zaidi ya sabasaba.
Ni zaidi ya nane nane. Kwa kiingilio cha TZS. 7,000/= tu.

Ni hapa hapa mkoa wa Morogoro ukumbi wa msamvu stand  ghorofa ya pili
Huu ni mkutano wa mapinduzi ya bidhaa za watanzania.
Mafunzo pia ya kuboresha bidhaa hizo.

Mkutano huu ni kila mwezi. Huna haja ya kusubiri maonyesho ya mwaka mzima. Kwanini usiungane na fursa 101 uje uonyeshe bidhaa yako. Haijalishi kipato chako. Hata kama una bidhaa mbili njoo uonyeshe kidogo ulichonacho. Unajua nini kitatokea baada ya hapo???

Tafadhali kama upo mkoa wowote na una bidhaa ya kitanzania njoneni tuungane sote. Tujulishe mahali ulipo tutakufuata. Tutakuelimosha na tutahakikisha tarehe 9/9 unaonyesha uwezo wako. Usikose Fursa muhimu Kama hii ikupite.

Fursa 101 imekuja kuwa sauti kwa watu wasio na sauti.
Fursa 101 imekuja kuwa majibu kwa watu walionyamazishwa.
Fursa 101 imekuja kuwa daraja kwa wanaotafuta njia.
Fursa 101 ni kwaajili ya watanzania wenye uwezo.wa tofauti lakini wamesahaulika. Ungana nasi.

Piga 0713 222 705 au 
whatsapp/sms: 0769 222 705.


Njoneni wote tusafiri pamoja kama familia moja. Asante

No comments:

Post a Comment