Je wewe upo Morogoro?
Dar es salaam?
Mbeya?
Tanga?
Dodoma?
Mtwara?
Kigoma?
Mwanza?
Arusha?
Na kwingineko Tanzania, Kenya , Uganda, Rwanda, n.k
Je una bidhaa zako unazotamani kuonyesha? Kuuza au
kuboresha?
Unataka kuonana na wawekezaji?
Watalaamu mbalimbali?
Unajua tarehe 9/9/2017 kutakuwa maonyesho ya aina yake?
Ni zaidi ya sabasaba.
Ni zaidi ya nane nane. Kwa kiingilio cha TZS. 7,000/= tu.
Ni hapa hapa mkoa wa Morogoro ukumbi wa msamvu stand
ghorofa ya pili
Huu ni mkutano wa mapinduzi ya bidhaa za watanzania.
Mafunzo pia ya kuboresha bidhaa hizo.
Mkutano huu ni kila mwezi. Huna haja ya kusubiri maonyesho
ya mwaka mzima. Kwanini usiungane na fursa 101 uje uonyeshe bidhaa yako.
Haijalishi kipato chako. Hata kama una bidhaa mbili njoo uonyeshe kidogo
ulichonacho. Unajua nini kitatokea baada ya hapo???
Tafadhali kama upo mkoa wowote na una bidhaa ya kitanzania
njoneni tuungane sote. Tujulishe mahali ulipo tutakufuata. Tutakuelimosha na
tutahakikisha tarehe 9/9 unaonyesha uwezo wako. Usikose Fursa muhimu Kama hii
ikupite.
Fursa 101 imekuja kuwa sauti kwa watu wasio na sauti.
Fursa 101 imekuja kuwa majibu kwa watu walionyamazishwa.
Fursa 101 imekuja kuwa daraja kwa wanaotafuta njia.
Fursa 101 ni kwaajili ya watanzania wenye uwezo.wa tofauti
lakini wamesahaulika. Ungana nasi.
Piga 0713 222 705 au
whatsapp/sms: 0769 222 705.
Njoneni wote tusafiri pamoja kama familia moja. Asante


















